- 203 viewsDuration: 1:48Tume ya walimu - TSC inasema kuwa ina upungufu wa shilingi bilioni 10 ili kuweza kuwahamisha walimu kwenye bima ya matibabu - SHA. Haya ni huku tume hiyo ikipewa makataa ya siku 20 kutoa vyeti vya wanafunzi ambavyo vinazuiliwa na shule mbalimbali.