Wakulima na wafugaji Kajiado wanufaika na vifaa vya ukulima

  • | Citizen TV
    280 views

    Wakulima na wafugaji katika kaunti ya Kajiado wamenufaika na vifaa vya kuendesha kilimo na kupiga jeki ufugaji hasa wakati huu ambapo wengi kaunti hiyo wanakabiliana na ukame. Vifaa hivyo ambavyo ni pamoja na mashine za kupanda na kuvuna nyasi, viungulio, mashine za kawi ya jua, ,iongoni mwa vifaa vingine vinatarajiwa kuimarisha ukulima pamoja na ufugaji kwa wakaazi elfu kumi, na hivyo kuongeza mapato kwao.Wakulima na wafugaji waliopokea vifaa hivyo ambavyo vimegharimu shilingi milioni 10. Hata hivyo Wakulima hao wanataka tatizo la uhaba wa maji kutatuliwa