Mwenyekiti wa EACC Eliud Wabukala wahimiza uwajibikaji

  • | Citizen TV
    161 views

    Mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi Eliud Wabukala amewataka viongozi wa kidini kuwaelimisha wakazi kuhusu athari za ufisadi. Wabukala amesema mbinu hiyo inaweza kukomesha ufisadi nchini. Aidha Wabukala amewataka wananchi kuwajibika na kuripoti visa vya ufisadi kuwa tume