Mgogoro wa wanyamapori na binadamu Taita Taveta

  • | Citizen TV
    176 views

    Kamati ya kiufundi kuhusu ushirikiano wa serikali kuu na za kaunti inakutana na gavana wa kaunti ya Taita Taveta Andrew Mwadime kuzungumzia changamoto za mgogoro baina na binadamu na wanyamapori. Hali hiyo inachangiwa na ukaribu wa kifadhi ya kitaifa ya Tsavo