Dunia Wiki Hii | Idadi ya walioangamia kutokana na ajali ya ndege kutoka Tanzania yafikia watu 19

  • | KBC Video
    6 views

    Kongamano la 27 la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya anga liliandaliwa katika jiji la pwani la Sharm el-Sheikh nchini misri likiangazia kupunguza utoaji gesi ya carbon, kuziwezesha nchi kujiandaa kwa na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga na ufadhili kwa nchi zinazostawi.

    Ndege ndogo ya kubebea abiria ilianguka siku ya Jumapili asubuhi kwenye ziwa Viktoria huko Bukoba Tanzania magharibi ilipokuwa ikielekea kwenye uwanja mmoja wa ndege nchini humo.

    Wapigaji kura nchini marekani walishiriki kwenye uchaguzi wa katikati ya muhula huku nchi hiyo ikikumbwa na migawanyiko mikubwa ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #DuniaWikiHii #WorldCupIkoKBC