Skip to main content
Skip to main content

Mwanamfalme wa zamani Uingereza Andrew Mountbatten-Windsor akamatwa. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,935 views
    Duration: 28:10
    Mwanamfalme wa zamani na mdogo wa Mfalme Charles, Andrew Mountbatten-Windsor, amekamatwa na polisi wa Uingereza kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma. Polisi wanasema wanatathmini ripoti kwamba mwanamfalme huyo wa zamani alidaiwa kutoa habari za siri kwa Jeffrey Epstein ambaye alipatikana na hatia ya uhalifu wa kingono, tukio linalodaiwa kufanyika wakati Andrew alipokuwa mjumbe wa biashara wa Uingereza. Andrew Mountbatten Windsor amekana makosa yanayohusiana na nyaraka za Epstein. #AndrewMountbattenWindsor #Epstein #BBCSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw