Skip to main content
Skip to main content

Oburu Oginga asema chama cha ODM kinatafuta kiti cha Naibu Rais kwenye uchaguzi ujao

  • | Citizen TV
    7,593 views
    Duration: 3:02
    Cheche zinazidi kuwaka katika chama cha Chungwa huku Kinara wa chama hicho Oburu Oginga akisisitiza kuwa ODM inatafuta kiti cha Naibu Rais Katika Mazungumzo yake na chama cha UDA. Haya ni huku mrengo wa Linda Mwananchi wa chama hicho ukisistiza kwamba mkutano wao uliopangwa hapo kesho katika uwanja wa Amalemba, huko Kakamega utaendeleana licha ya gari lao lililokuwa limebeba vipaaza sauti kuvamiwa katika eneo la Riat huko Kisumu