- 262 viewsDuration: 48sMabingwa watetezi wa michezo ya vyuo vikuu nchini, chuo kikuu cha Kenyatta, walianza vyema kampeni yao ya kutetea taji la mpira wa kikapu kwa wachezaji watatu kila upande kwa kukilaza chuo cha maseno katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa katika uwanja wa chuo cha Kabarak, Nakuru