Skip to main content
Skip to main content

Gaza mpya: Marekani, Saudi Arabia, Qatar na UAE waahidi fedha za ujenzi. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,333 views
    Duration: 28:11
    Rais Donald Trump amesema Marekani itatoa dola bilioni kumi kwa ajili ya ujenzi upya wa Gaza. Alitoa tangazo hilo katika mkutano wa kwanza wa Bodi yake ya Amani mjini Washington. Wanachama wengine wakiwemo Saudi Arabia, Qatar na UAE wameahidi dola bilioni saba. Umoja wa Mataifa unakadiria kwamba gharama ya kujenga upya uharibifu wa Gaza itakuwa dola bilioni 70. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema Israel inakubaliana na Marekani kwamba hakutakuwa na ujenzi upya wa Gaza kabla ya kuondolewa kwa silaha. #Trump #SaudiArabia #Qatar #UAE #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw