Skip to main content
Skip to main content

Andrew Mountbatten-Windsor: Mwanamfalme wa zamani Uingereza achunguzwa

  • | BBC Swahili
    711 views
    Duration: 4:03
    Wapelelezi wataendelea na upekuzi wa makazi ya zamani ya Andrew Mountbatten-Windsor, Royal Lodge, baada ya kuachiwa chini ya uchunguzi jana usiku. Mwanamfalme huyo wa zamani - aliyeshikiliwa kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma - ndiye mtu wa kwanza wa ngazi ya juu wa Familia ya Kifalme ya Uingereza kukamatwa katika muda wa takriban miaka 400. Maafisa wanachunguza madai kwamba Andrew alitoa nyaraka rasmi za serikali kwa Jeffrey Epstein, wakati alipokuwa akifanya kazi kama mjumbe wa biashara wa Uingereza. Hapo awali, amekanusha makosa yoyote kuhusiana na Epstein. #AndrewMountbattenWindsor #JeffreyEpstein #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw