Skip to main content
Skip to main content

Fahamu namna ya kujilinda usirekodiwe na kamera za siri

  • | BBC Swahili
    21,077 views
    Duration: 1:50
    Katika siku za hivi karibuni, visa vya kurekodiwa kwa siri vimeibua hofu kubwa miongoni mwa wanawake na wasichana barani Afrika. Kenya na Ghana ni mfano wa hili kutokana na kisa cha raia wa Urusi ambaye alidaiwa kurekodi wanawake bila idhini yao, kisha kuchapishwa video hizo mtandaoni. #bbcswahili #kenya #ghana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw