Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa Profesa Kindiki watetea nafasi yake, wanasema Oburu aende polepole

  • | Citizen TV
    4,001 views
    Duration: 2:54
    Siasa za unaibu rais kwenye uchaguzi mkuu ujao zimeendelea huku sasa wandani wa naibu Rais Profesa Kithure Kindiki wakisema katu hawatapokonywa kiti hicho. Wakizungumza kwenye mkutano kaunti ya embu, viongozi hao walioandamana na naibu wa rais wamemtaka kinara wa ODM Oburu Oginga kukoma kujipiga kifua na kumezea mate kiti hicho.