- 1,982 viewsDuration: 3:04Viongozi wa ODM wanaomuunga mkono Oburu Oginga wameendeleza siasa za kutetea ushirikiano wao na serikali wakisema wanasimama na Rais William Ruto hadi debeni mwakani. Kwenye mikutano katika kaunti za Kisumu na Migori, wanasiasa wa ODM wakiongozwa na mwenyekiti Gladys Wanga wakiwakosoa wenzao waliowataja kuwa waasi.