Skip to main content
Skip to main content

Walezi wa Baba Homa Bay waanza kulea watoto wao, kuwalea na kuwapa fursa ya kukuza tabia zao

  • | Citizen TV
    779 views
    Duration: 3:39
    Katika jamii nyingi humu mchini, malenzi ya watoto haswa wachanga walio chini ya miaka mitatu ni jukumu la kina mama. Hata hivyo, wazazi wa kiume katika kaunti ya homa bay wanabadilisha tamaduni kwa kuhusishwa katika kutekeleza majukumu haya. Kupitia mafunzo ya kusaidia ukuaji wa watoto, wamechukulia majukumu kama kucheza na watoto wao, kuwapa chakula na hata kuwaogesha kama yao.