Skip to main content
Skip to main content

Upinzani walaumu serikali kwa uvamizi wa mikutano yao kisiasa

  • | Citizen TV
    3,856 views
    Duration: 2:48
    Viongozi wa upinzani sasa wanailaumu serikali kwa ghasia zinazoshuhudiwa kwenye mikutano ya kisiasa, zilizosababisha kuuawa kwa mtu mmoja katika kaunti ya Kakamega hapo jana. Wakiongoziwa na Kalonzo Musyoka na Rigathi Gachagua, wanasiasa hawa wamemtaka rais William Ruto na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kuwajibikia ghasia hizo kwenye mikutano yao ya kisiasa.