- 899 viewsDuration: 1:36Rais William Ruto amepuuza siasa za upinzani kuwa wanambwaga kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao akisema rekodi yake ya maendeleo itamuuza debeni. Akizungumza katika kanisa la jcm kaunti ya kiambu, rais ruto amesema wakenya wataamua kuhusu kumpa nafasi nyingine, akisifia ajenda yake ya maendeleo. Rais pia akitumia fursa hiyo kutangaza kujengwa kwa barabara kuu ya moja kwa moja ya thika kuanzisha septemba mwaka huu.