Skip to main content
Skip to main content

Afisa mkuu mtendaji wa Coast General hospital asimamishwa kazi kwa muda

  • | Citizen TV
    645 views
    Duration: 59s
    Afisa mkuu mtendaji wa hospitali ya Coast General, Makadara kaunti ya Mombasa daktari Iqbal Khandwalla amesimamishwa kazi kwa muda. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Khandwalla amesimamishwa kazi ii kutoa nafasi kwa uchunguzi na kukamilika kuhusu madai ya utepetevu wa utoaji huduma katika hospitali hiyo ya makadara. Gavana wa Mombasa Abdulswamad ametaka wahudumu wa afya katika hospitali hiyo kuwajibika hasa katika utoaji huduma baada ya lalama kuendelea kuripotiwa. Baadhi ya viongozi kutoka Mombasa wametaka mageuzi katika hospitali hiyo