Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kianglikana wakerwa na ubomozi wa kanisa Homa Bay

  • | Citizen TV
    246 views
    Duration: 1:45
    Viongozi wa Kanisa la kianglikana dayosisi ya nyanza wameelezea kugadhabishwa kwao na kitendo cha watu binafsi kubomoa na kunyakuwa ardhi ya kanisa katika eneo la Mbita. Akihutubia waandishi wa habari mjini Mbita baada ya kukaguwa uharibifu huo, Askofu mkuu wa dayosisi ya nyanza kusini Simon Onyango ameomba serikali iingilie kati swala Hilo na kuipa kanisa hiyo haki yake. Kulingana na Askofu Mkuu Onyango uharibifu huo ni wa thamani ya shillingi million Hamsini.