Skip to main content
Skip to main content

Kijiji cha Kirogo chamkaribisha tena Beatrice Wanjiru baada ya kifungo cha miaka 27

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 2:43
    Ilikuwa furaha isiyo kifani katika kijijini Kirogo eneo la Mwea kaunti ya Kirinyaga baada ya wakazi wa eneo hilo kujumuika kumkaribisha nyumbani mwanamke aliyeachiliwa baada ya kuhudumu miaka 27 gerezani. Beatrice Wanjiru, aliyefungwa akiwa na miaka 33 na ambaye sasa ana miaka 60, akisema ni furaha kubwa kuonana tena na wanawe baada ya kuachiliwa licha ya kufungwa maisha kwa mauaji.