- 4,277 viewsDuration: 3:08Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imefanikiwa kurudisha ardhi ya umma iliyokuwa imenyakuliwa na mabwenyenye kisiwani Mombasa. EACC inasema ardhi hizo za thamani ya zaidi ya shilingi milioni 281, zilikuwa za serikali ila baadhi ya maafisa katika wizara ya ardhi walishirikiana na baadhi ya wafanyibiashara na hata wamiliki wa kampuni kupora mali hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya