- 1,727 viewsDuration: 1:38Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya Katoloni kaunti ya Machakos alifariki kutokana na homa kali ya mapafu. Uchunguzi wa maiti ukionyesha kuwa Consolata Nduku aliyefariki ghafla pindi tu baada ya kuugua alikuwa amekuwa na homa hiyo ya mapafu kwa muda kabla ya kifo chake. Familia ya marehemu ilishuhudia uchunguzi huo wa maiti uliofanywa katika hifadhi ya Montezuma. Familia ilikuwa imelaumu shule kwa kushindwa kupiga ripoti ya haraka pindi mwanafunzi huyo alipoanza kuugua