Skip to main content
Skip to main content

Wahalifu 17 wakamatwa pwani juu ya kuhusishwa na visa mbalimbali

  • | Citizen TV
    904 views
    Duration: 1:34
    Washukiwa 17 wamekamatwa kwenye operesheni za kiusalama zinazoendeshwa na polisi katika maeneo mbalimbali ya pwani. Misako hii ikifuatia kuongezeka kwa visa vya uhalifu Kilifi.