- 672 viewsDuration: 2:46Waziri wa usalama, Kipchumba Murkomen, amesisitiza umuhimu wa kutoa vifungo vya nje kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wafungwa magerezani. Waziri amesema kuwa magereza kwa sasa yana zaidi ya wafungwa elfu sitini, kwenye idadi inayozidi uwezo wake.