- 1,233 viewsDuration: 2:39Wizara ya elimu sasa inasema imechukua hatua dhidi ya wasimamizi wa shule ishirini, baada ya ripoti kufichua kuwepo kwa wanafunzi hewa zaidi ya laki tisa. Akizungumza mbele ya kamati ya bunge kuhusu elimu, katibu wa wizara ya elimu Julius Bitok alisema kuwa baadhi ya maafisa katika wizara ya elimu pia wamechukuliwa hatua. Na kama anayoarifu Laura Otieno, kamati ya bunge ilimtaka Bitok kutegua kitendawili cha usajili wa wanafunzi kupita kiasi katika shule za upili.