- 24,257 viewsDuration: 2:32Athari za mvua kubwa iliyoshuhudiwa sehemu nyingi za nairobi usiku wa kuamkia leo zimesababisha baadhi ya wakazi kuhama makao yao. Katika mtaa wa tena eneo la umoja, baadhi ya nyumba zilijaa maji taka baada ya mabomba kukatika kutokana na mvua hiyo.