21 Aug 2025 8:02 pm | Citizen TV 1,516 views Duration: 1:24 TIMU YA TAIFA YA KANDANDA HARAMBEE STARS IMEKAMILISHA MAANDALIZI YAKE YA MECHI YA ROBO FAINALI DHIDI YA MADAGASCAR KATIKA UWANJA WA KASARANI HAPO KESHO. VIJANA WA HARAMBEE STARS WALIFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA NYAYO