Vita dhidi ya Ukeketaji ll Wasichana nusu milioni hatarini

  • | KBC Video
    10 views

    Kundi la wakereketwa dhidi ya ukeketaji katika kaunti ya Migori wanaitaka jamii kukumbatia mawasiliano ya kibinafsi kwenye vita dhidi ya uovu huo. Kundi hilo limesema mbinu hiyo inahimza utambuzi wa watu binafsi mbali na kutoa ushauri nasaha na huduma za matibabu kwa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #migori #WorldCupIkoKBC #FGM