Wafugaji 500 wa ng'ombe wa maziwa kaunti ya Nandi wapewa mafunzo

  • | Citizen TV
    52 views

    Zaidi ya wafugaji 500 wa ng'ombe wa maziwa Kaunti ya Nandi wamepokea mafunzo mbalimbali yananyonuia kuimarisha uzalishaji wa maziwa kaunti hiyo