Kaunti ya Kisumu kuwapa vijana fursa ya kukarabati magari yake

  • | KBC Video
    9 views

    Magari yote ya serikali ya kaunti ya kisumu yatafanyiwa ukarabati kwenye vyuo vya mafunzo ya kiufundi vilivyo chini ya serikali ya kaunti. Hii inafuatia kuzinduliwa kwa chuo kipya cha kiufundi cha Akado kitakachoshughulikia Uhandisi wa Magari. Kituo hicho kimefanikishwa na ushirikiano wa serikali ya kaunti na kampuni kutoka Uswisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive