Wafanyabiashara Kirinyaga wakadiria hasara baada ya maandamano

  • | KBC Video
    4 views

    Naibu Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga, David Githanda, amekashifu matukio ya uhalifu na uharibifu wa mali yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya tarehe 7 Julai katika kaunti hiyo. Amewataka wakazi kulinda biashara na uwekezaji wao, ambao ni msingi wa maisha yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive