Wakimbizi Kenya na Uganda kupokea stakabadhi za utambulisho

  • | KBC Video
    10 views

    Kampeni ya utoaji stakabadhi za utambulisho wa wakimbizi imezinduliwa nchini Kenya na Uganda ikiwalenga wanaotfuta hifadhi katika nchi hizi mbili. Kampeni hii ya miezi minane itahusisha mashauriano ya mara kwa mara kati ya mashirika yanayosimamiwa na wakimbizi, wataalamu wa sheria na watunga sera.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive