Watu wawili washtakiwa kwa kunyakua ardhi Mukuru, Nairobi

  • | KBC Video
    4 views

    Watu wawili wanaohusishwa na unyakuzi wa ardhi katika mtaa wa mabanda wa Mukuru jijini Nairobi wamefikishwa mahakamani. Joseph Kaloki na Nzomo Wambua walifikishwa mbele ya Hakimu Mkuu Mwandamizi Joseph Karanja katika Mahakama ya Makadara wakishtakiwa kwa uharibifu wa mali na wizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive