Gavana Abdi Guyo amkaripia Seneta Dullo kwa matamshi ya hali ya usalama Isiolo

  • | KBC Video
    34 views

    Gavana wa kaunti ya Isiolo, Abdi Ibrahim Guyo, amemlaumu seneta wa kaunti hiyo, Fatuma Adan Dullo, kufuatia matamshi aliyotoa bungeni kuhusu hali ya usalama katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive