Serikali ya Pokot Magharibi yasambaza mabati mashinani

  • | Citizen TV
    124 views

    Serikali ya Kaunti ya Pokot Magharibi imeanzisha usambazaji wa mabati kwa familia maskini na wazee katika maeneo ya vijijini kupitia mpango wa Ondoa Nyasi