Kombe la Dunia 2022: Mashabiki wa Ghana Wakicheza na Kuimba

  • | VOA Swahili
    431 views
    Mashabiki wa Ghana wakishangilia kwa nguvu zote timu yao katika michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Timu Black Stars wamepangiwa kuanza kampeni yao ya Kombe la Dunia dhidi ya Ureno Novemba 24 katika Uwanja 974 mjini Doha. Endelea kuwafuatilia waandishi wa Sauti ya Amerika Sunday Shomari na Kahli Abdu wakikuletea habari mpya kuhusu timu tano kutoka Afrika – Cameroon, Ghana, Morocco, Tunisia na washindi wa barani Afrika Senegal na ujionee jinsi mashabiki wanavyosherehekea tukio kubwa la michezo duniani. #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.