- 554 viewsWakati Kombe la Dunia 2022 likianza huko Qatar, mashabiki wengi wanavinjari katika sehemu mbalimbali na kila vivutio ambavyo vinapatikana katika mji wa Doha. Hapa utajionea baadhi ya mandhari kutoka mjini humo. Endelea kuwafuatilia waandishi wa Sauti ya Amerika Sunday Shomari na Kahli Abdu wakikuletea habari mpya kuhusu timu tano kutoka Afrika – Cameroon, Ghana, Morocco, Tunisia na Washindi wa barani Afrika Senegal na ujionee jinsi mashabiki wanavyosherehekea tukio kubwa la michezo duniani. #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mandhari yaliyorekodiwa na VOA kutoka Qatar (Sehemu ya Pili)
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Hundreds of protesters in Peru's capital marched on Friday to demand the scrapping of a new law that describes transgender people, among others, as having a mental illness so they can access health benefits.
- 19 May 2024 - Israeli troops and tanks pushed on Saturday into parts of a congested northern Gaza Strip district that they had previously skirted in the more than seven-month-old war, killing and wounding dozens of Palestinians, medics and residents said.
- 19 May 2024 - Slovakia's health minister said Saturday the prognosis for Prime Minister Robert Fico was "positive" after an assassination attempt as a court put the suspected gunman in pre-trial detention.
- 19 May 2024 - Hundreds of residents from Cheptigit village in Kerio Valley will spend the night in the cold after the Kenya Wildlife Service (KWS) embarked on the demolition of houses for what it terms as encroachment.
- 19 May 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) party MPs have rallied to have the Azimio coalition shoot down the Finance Bill, 2024 terming it punitive and unbearable.
- 19 May 2024 - Firm charts green energy path with low-carbon emission engines
- 19 May 2024 - CA pushes for Sh88.5b nation-wide broadband
- 19 May 2024 - Kabarak, FKE unite to bridge industry gaps
- 19 May 2024 - Ruto allies accuse leaders of tribalism over Limuru 3
- 19 May 2024 - New Eco Levy threatens Kenya's green future and jobs, say experts