Shule za kibinafsi zataka usawa wa uteuzi wa sekondari

  • | Citizen TV
    212 views

    Huku Mitihani ya kitaifa ya darasa la sita na nane ikiendelea, wadau katika sekta ya elimu, wanaitaka serikali kuwapa wanafunzi walioko katika shule za kibanafsi nafasi sawa za kujiunga na shule za sekondari. Wadau hao wanasema hatua hiyo itawapa wamiliki wa shule hizo motisha wa kuendelea kutoa mchango wao katika sekta ya elimu