Usalama Barabarani | NTSA inawataka madereva kuwa waangalifu msimu huu

  • | Citizen TV
    503 views

    Mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani -ntsa imewataka madereva kuwa waangalifu na kufuata kanuni zote hasa msimu wa sherehe unapobisha hodi. Mkurugenzi wa leseni NTSA Christopher Wanjau amesema kuwa kati ya watu 4,000 wanaoripotiwa kufariki kutokana na ajali, ajali 1,000 kati yazo zinahusiana na wanabodaboda