Wakulima wapata dawa ya kuangamiza kwekwe aina ya Kayongo

  • | West TV
    163 views
    Wakulima kutoka Ikonza eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wamefahamishwa kuhusu teknolojia ya kukabiliana na Kwekwe sugu aina ya Kayongo / au Striga Weed Kutoka kwa kampuni ya Toothpick.