Ukosefu wa usalama | Wanafunzi chuoni Machakos waandamana

  • | KBC Video
    66 views

    Shughuli za usafiri zilikatizwa kwenye barabara kati ya Machakos na Makueni baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Machakos kukabiliana na polisi wakilalamikia usalama duni. Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya wanafunzi hao waliokuwa wakiandamana kulalamikia kuongozeka kwa visa vya uhalifu. Wanafunzi hao walisema wenzao wameshambuliwa na magenge ya wahalifu bila hatua zozote kuchukuliwa kukabiliana na hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #maandamano #News