Kamati ya seneti imeahidi kuwasaidia wanaotoa nishani kwa kusudi la kuiuzia serikali

  • | K24 Video
    84 views

    Kamati ya seneti kuhusu nishati imeahidi kufanya juhudi juu chini kuwasaidia wanaotoa nishani kwa kusudi la kuiuzia serikali. Kamati hii imezungumza huko Nyeri ilipo tembea kwenye kiwanda cha kutengeza nguvu za stima kutumia miale ya jua upande wa Kiawara. Mwekezaji huyo hajaweza kuiuzia serikali nguvu anazotoa kwa miaka 10 tangu kuanzishwa kwake.