- 266 viewsViongozi wa chama tawala Afrika Kusini wanakutana kujadili hatma ya rais Cyril rRamaphosa katikati ya kashfa ya rushwa ambayo imepelekea shinikizo ajiuzulu. Ripoti huru ilisema Ramaphosa huenda alivunja sheria kwa tuhuma za kuficha fedha zilizoibiwa katika shamba lake. Akizungumza siku ya Jumapili, Ramaphosa alisema hatma yake iko mikononi mwa chama tawala cha ANC. Lakini pia alisema kuwa ataipinga ripoti hiyo kupitia mahakama ya katiba ya nchi hiyo. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Chama cha ANC Afrika Kusini chakutana kujadili hatma ya Rais Ramaphosa
- - LIVE| TV47 MATUKIO ››
- - Duniani Leo ››
- 3 May 2024 - Rebuilding Gaza's shattered homes will take at least until 2040 but could drag on for many decades, according to a U.N. report released on Thursday.
- 3 May 2024 - Hundreds of helmeted police swarmed the site of a pro-Palestinian protest at the University of California at Los Angeles early on Thursday, firing flash bangs, arresting defiant demonstrators and dismantling their encampment.
- 3 May 2024 - Man convicted while mentally ill released after 34 years in prison
- 3 May 2024 - City estates to experience dry taps as floods destroy water pipes
- 3 May 2024 - Coach Jurgen Klopp stressed that his row with Mo at the weekend is over and settled and plays no part in the rumours that his striker is leaving.
- 3 May 2024 - The club will field 43 swimmers for the championship.
- 3 May 2024 - The team, which is in a residential camp in Ngong, is under the tutelage of head coach Robert Ngisirei.
- 3 May 2024 - Mutai has been inloved involved in a long-running feud with secretary Raymond Olendo over integrity issues
- 3 May 2024 - "We understand the importance of this cup. That's why we're putting in maximum effort to reach the finals," Otieno emphasized.
- 3 May 2024 - p