25 Aug 2025 11:11 am | Citizen TV 127 views Duration: 1:58 Kwa muda wa mwaka mmoja na nusu uliopita, familia ishirini na moja kutoka kijiji cha Musoso katika eneo bunge la Kangema zimekuwa zikiishi katika kambi ya muda baada ya ardhi yao kutangazwa kuwa hatari