25 Aug 2025 11:10 am | Citizen TV 519 views Duration: 1:52 Wakazi wa Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wanalilaumu shirika la usalama wa baharini KMA wakidai limesusia kuwatafuta wanaume wawili waliozama baharini katika Kisiwa cha Pate siku nne zilizopita