25 Aug 2025 11:08 am | Citizen TV 5,134 views Duration: 37s Wanachama wa genge la vijana wanaowahangaisha wakazi wa mji wa Malindi, Kaunti ya Kilifi wamekamatwa katika operesheni ya usalama iliyoendeshwa na polisi wa eneo hilo