25 Aug 2025 1:39 pm | Citizen TV 400 views Duration: 1:38 Wakulima kutoka kaunti ya kitui wamehimizwa kuanzisha kilimo cha alizeti ambacho hakihitaji mvua nyingi na mazao yake yana faida kubwa.