25 Aug 2025 1:32 pm | Citizen TV 8,188 views Duration: 32s Rais William Ruto ametangaza tarehe 27 agosti kuwa sikukuu ya kuadhimisha siku ya katiba. Kulingana na rais, katiba dei itakuwa ya kukumbuka siku ya kuidhinishwa kwa katiba ya mwaka wa 2010.