Amiliki kampuni ya nguo akiwa na miaka 23

  • | BBC Swahili
    2,061 views
    Katika mfululizo wa video zilifanya vizuri kwa miaka iliyopita tunaangazia tunamuangazia msichana mwenye umri wa miaka 23 Brightstar Musyoka kutoka nchini Kenya aliyelelewa na bibi na babu yake baada ya kutelekezwa na mamake. Mwanahabari wa BBC Paula Odek alizungumza na kuandaa taarifa hii - - - #bbcswahili #kenya #30under30