‘Kuwa makini na mtu anayesema anataka kujiua’ - Mwanasaikolojia
Shirika la Afya Duniani WHO linasema mtu 1 katika kila watu 8 duniani ana matatizo ya afya ya akili.
Nchini Tanzania, watu 5 kati ya 100,000 hujiua kutokana na matatizo ya afya ya akili kama vile wasiwasi, huzuni, hasira na matumizi ya dawa za kulevya katika miaka mitano iliyopita.
Kijana mmoja kutoka Tanzania ameanzisha shirika linalowakutanisha vijana ili kujadili mada mbalimbali ikiwemo namna wanavyoweza kupambana na matatizo ya afya ya akili.
Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure ametuandalia taarifa hii
🎥: @frankmavura
#bbcswahili #tanzania #who
21 Aug 2025
- Around 85 per cent of professionals working in Kenya's healthcare sector are graduates of KMTC.
21 Aug 2025
- The move came after FKF appealed an initial sanction.
21 Aug 2025
- She also used the proceeds to buy a multimillion-dollar property.
21 Aug 2025
- The Elimu Bora Working Group is demanding that President William Ruto make public the report and recommendations of the presidential working party on education reform.
21 Aug 2025
- Public Service Ministry Unveils Bold Reforms, Eyes Future-Ready Civil Service
21 Aug 2025
- Instead of proceeding to Kamukunji, his allies, led by Nyandarua Senator John Methu, took the stage, with Methu issuing a fiery warning to President William Ruto.
21 Aug 2025
- The Kenya Wildlife Service has relocated four rhinos from the Meru National Park to the Loisaba Conservancy, marking
21 Aug 2025
- From intimate moments to legal showdowns, parents navigate the hardest lessons of love and family.
21 Aug 2025
- Democracy for Citizens Party (DCP) Deputy Party Leader Cleophas Malala has intensified support for the party’s candidates ahead
21 Aug 2025
- According to the NECC, the elections will stand postponed until further notice.
21 Aug 2025
- Democracy for the Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua has cancelled his planned address to the public at
21 Aug 2025
- Around 85 per cent of professionals working in Kenya's healthcare sector are graduates of KMTC.
21 Aug 2025
- United Democratic Alliance (UDA) Secretary General, Hassan Omar, has expressed confidence that the party will emerge victorious in