Mambo sita kwanini kitabu cha Prince Harry ni tatanishi
Kitabu cha kumbukumbu cha Prince Harry kwa jina Spare , kimebaini msururu wa matukio na madai dhidi ya familia ya kifalme ya Uingereza. Kitabu hicho kinatarajiwa kuanza kuuzwa hii leo lakini BBC ilipata nakala hiyo nchini Uhispania ambapo kiliuzwa kwa bahati mbaya.
Kitabu cha Harry kimejuimuisha jinsi alivyopigwa na kaka yake, alivyowaua wapiganaji wa Taliban 25 alipokuwa akihudumu kama rubani huko Afghanistan na alipotumia dawa za kulevya alipokuwa na umri wa miaka 17.
Kasri ya Kensington na Buckingham zimesema hazitatoa matamshi yoyote kuhusiana na kitabu hicho.
#bbcswahili #uingereza #familiayakifalme
21 Aug 2025
- Around 85 per cent of professionals working in Kenya's healthcare sector are graduates of KMTC.
21 Aug 2025
- The move came after FKF appealed an initial sanction.
21 Aug 2025
- She also used the proceeds to buy a multimillion-dollar property.
21 Aug 2025
- The Elimu Bora Working Group is demanding that President William Ruto make public the report and recommendations of the presidential working party on education reform.
21 Aug 2025
- Public Service Ministry Unveils Bold Reforms, Eyes Future-Ready Civil Service
21 Aug 2025
- Instead of proceeding to Kamukunji, his allies, led by Nyandarua Senator John Methu, took the stage, with Methu issuing a fiery warning to President William Ruto.
21 Aug 2025
- The Kenya Wildlife Service has relocated four rhinos from the Meru National Park to the Loisaba Conservancy, marking
21 Aug 2025
- From intimate moments to legal showdowns, parents navigate the hardest lessons of love and family.
21 Aug 2025
- Democracy for Citizens Party (DCP) Deputy Party Leader Cleophas Malala has intensified support for the party’s candidates ahead
21 Aug 2025
- According to the NECC, the elections will stand postponed until further notice.
21 Aug 2025
- Caf has increased fan attendance at Kasarani Chan quarter-final match to 36,000.
21 Aug 2025
- Democracy for the Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua has cancelled his planned address to the public at
21 Aug 2025
- Around 85 per cent of professionals working in Kenya's healthcare sector are graduates of KMTC.